Wise AD

Wise AD

Wednesday, April 24, 2013

Usikose kuangalia vipindi vipya vya "Miaka 50 Ijayo Tanzania" katika Star TV.

Vipindi vipya vya "Miaka 50 Ijayo Tanzania"..... Mada ni; Demokrasia, Nishati, Usafirishaji,
 Ongezeko la watu na Teknologia ya Mawasiliano......@STAR TV.....,Kaa tayari, usikose!




Angalia kionjo cha kati ya yale tulio waandalia katika vipindi vipya vya "Miaka 50 Ijayo Tanzania"..... Mada ni; Demokrasia, Nishati, Usafirishaji, Ongezeko la watu na Teknologia ya Mawasiliano......@STAR TV.....,Kaa tayari, usikose!


No comments:

Post a Comment