Wise AD

Wise AD

Thursday, April 10, 2014

Ngumi na mieleka ndani ya bunge la Ukraine


Katika kuonyesha hasira ya kimwili na kuchanganyikiwa huko mjini Kiev, hasira zilipamba moto na kuanza kupigana  makonde wakiwa katika bunge la Ukraine,  kati ya wazalendo na wanaotaka kujitenga wakipambana vikali na kila mmoja wao.

No comments:

Post a Comment