
Je wewe ni mrembo, mrefu na mwembaba, unayejiamini na unataka kukamilisha ndoto yako? Usisite kuchukua forms za kujiunga na Miss Universe Tanzania 2014, katika mikoa ifuatayo:
MWANZA (LULU SANGA - 0715471412);
IRINGA na MBEYA ( VERONICA KILEMILE - 0782488030);
ARUSHA (GADIOLA - 0715643633/078464363) na
DAR ES SALAAM (SEIF KABELELE/MWANAKOMBO SALIM - 0655441165 / 0713302075).
Tafadhali, ukipata taarifa hizi basi usisite kuwajulisha na wadau mwengineo.
RATIBA YA USAILI.
Kama wewe ni mrembo mwenye vigezo vyote usisite kutimiza ndoto yako na ratiba ya usaili ni kama Ifuatavyo:-
MWANZA tutakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri. ARUSHA Tarehe12/09/2014 MBEYA NA IRINGA Tarehe 16/09/2014 na DAR ES SALAAM itakua tarehe 19/09/2014 Ukumbi na muda mtatangaziwa punde. Kwa maelezo zaidi piga namba 0655441165/0713302075
Warembo wote mnakaribishwa!
MWANZA tutakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri. ARUSHA Tarehe12/09/
Warembo wote mnakaribishwa!
No comments:
Post a Comment