Wise AD

Wise AD

Monday, June 9, 2014

Baada ya MTV MAMA 2014, Diamond Platnumz apata shavu jipya Afrika Kusini


Siku chache baada ya kumalizika kwa tuzo za MTV MAMA 2014, nyota wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz amesini mkataba mpya wa kufanya wimbo na Mafikizolo yaani (collaboration Song) ndani ya studio ya Kalawa Jazzmee inayomilikiwa na Oscar Hlongwane aka OSKIDO ambaye ni Director na Producer mkuu ndani ya studio hiyo lebel hiyo ina simamia wanamuziki wengi walio chini ya recording label hiyo baadhi yao wakiwa ni Mafikizolo, TKzee, Professor, Trompies, Malaika, na wengineo wengi ndani na nje ya Afrika.
Katika picha ya pamoja ni Theo Kgosikwe, Diamond Platnumz na Nhlanhla Sibongile Nciza ndani ya studio ya Kalawa Jazzmee.

Oskido akiwa ameshikilia tuzo walioshinda ya Best Collabo MTV MAMA 2014, iliyofanyika hivi karibuni ndani ya ukumbi wa ICC centre Durban, Kwazulu Natal.

Source: Oscar Hlonwane (Oskido)

No comments:

Post a Comment