Wise AD

Wise AD

Tuesday, September 9, 2014

Miss Universe Tanzania 2014 yaanza rasmi, Wahi kuchukua fomu za kushiriki..!


Yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya ulimbwende ulimwenguni Miss Universe Tanzania 2014 yameanza rasmi.
Je wewe ni mrembo, mrefu na mwembaba, unayejiamini na unataka kukamilisha ndoto yako? Usisite kuchukua forms za kujiunga na 
Miss Universe Tanzania 2014, katika mikoa ifuatayo: 
MWANZA (LULU SANGA - 0715471412); 

IRINGA na MBEYA ( VERONICA KILEMILE - 0782488030); 

ARUSHA (GADIOLA - 0715643633/078464363) na

DAR ES SALAAM (SEIF KABELELE/MWANAKOMBO SALIM - 0655441165 0713302075).
Tafadhali, ukipata taarifa hizi basi usisite kuwajulisha na wadau mwengineo.

 RATIBA YA USAILI.
 Kama wewe ni mrembo mwenye vigezo vyote usisite kutimiza ndoto yako na ratiba ya usaili ni kama Ifuatavyo:-
MWANZA tutakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri. ARUSHA Tarehe12/09/2014 MBEYA NA IRINGA Tarehe 16/09/2014 na DAR ES SALAAM itakua tarehe 19/09/2014 Ukumbi na muda mtatangaziwa punde. Kwa maelezo zaidi piga namba 0655441165/0713302075
Warembo wote mnakaribishwa!

No comments:

Post a Comment